ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 2, 2014

WEMA DIAMOND....TAYARI WAMEFIKA MTWARA KWA MAKAMUZI LEO USIKU


6 comments:

Anonymous said...

huyu diamond nasib mtoto wa mazense hivi manager wake nani jamani? mbona namuona bado ushamba umemjaa mara vidole dole kuonyesha mara kucheki cheki kisimu chake whats up dude?
hebu wema mfundishe mwenzako vipi kuwa star awe ana act ki professional.nyimbo zake fresh lakin yeye bado ushamba wa manzese umemganda hadi makalioni,but love this dude his music

Anonymous said...

mummy wema sepetu basi kuwa natural tukuone huwa unakuwaje kila simu minywele ya maiti kubandika be classic baby

Anonymous said...

Una wivu minywele ya maiti by foot inahusu mbona wewe hujaweka yako tukuone love u wema������ wenyewivu kanywen pombe mlewe mlale��

Anonymous said...

mimi mke wangu habandiki minywele ya maiti na tena ana natural na ni refu so iam very sorry mdau wa mwisho uliyetoa comment zako unadhani mimi demu? na ukweli kama na wewe unabandika hayo manywele ya maiti endelea tu kwa vile huna zako ndefu kama za my wife.

na pombe kunywa wewe usiyekuwa na usingizi ndo itakusadia wenginewe tunakunywa kwa starehe tu za hapa na pale na wala si za kutufanya tulale usingizi wa pono na kuvaa minywele ya maiti

Anonymous said...

dada zetu wote mnaaovya mawigi na manywele ya weaving mkaa mkijua ni kweli nyweli za maiti na nywele zinginezo ni za wahindi kuweni natural kubandika ma nywele za maiti na za wahindi taabu yote ya nini kama huna nywele basi huna hata ukibandika hutokuwa mzuri uzuri unatokana na ulicho nacho mungu alichokuumbia fungukeni msikasirika lakini tunakupendeni sana dada zetu mnaobandika manywele ya maiti na za wahindi

Anonymous said...

we love you too wema lakini kuwa natural wewe umesoma usiwe mjinga kama wenginewe kwa kubandika minywele ya maiti