ALICHOANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA KUMZIKA MAMA YAKE MZAZI JANA.
Tumempumzisha mama kwenye nyumba yake ya milele,jirani na
alipopumzishwa baba yake mzazi. Nawashukuru sana nyote kwa salam zenu za
pole.
Nawashukuru nyote mlioweza kufika kigoma kumsitiri mama.
Sina cha
kuwalipa, mola atawalipa.Nawashukuru sana wakazi wa Manispaa
ya Kigoma, jimbo la Kigoma Kaskazini na wana Kigoma wote.Nawashukuru
watanzania. Madaktari wote waliomhudumia mama, wahudumu wa hospitali,
maafisa wa Bunge na wabunge wenzangu. Mola awazidishie katika shughuli
zenu.
Mama yangu alikuwa nguzo kubwa kwangu na familia yetu. Mti mkubwa umeanguka. Mola amempenda zaidi mama. Pumzika kwa Amani.
1 comment:
pole sana zitto kwabwe Allah akupe moyo wakustahamili na family yako yote kazi ya Allah haina makosa stahamili baba upate kubarikiwa.
Allah Amghufiriyee yeye pamoja na wazee wetu wote na ndungu na jamaa walipo mbele ya haki. Amin
Post a Comment