Advertisements

Wednesday, June 18, 2014

BASI LA NEWS FORCE LAUA WAWILI PAPO HAPO NA KUJERUHI 40 BAADA YA KUPATA AJALI MUDA HUU ENEO LA IGURUSI


Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali

Taarifa zilizotufikia Muda huu kutoka Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa 

Na Mbeya Yetu

No comments: