Yule binti aliyecheza na mpira wa miguu katika mitaa mbalmbali ya
Morogoro hasa kwenye stendi ya mabasi na kuwavutia watu mbalimbali kwa
uwezo wake wa kuumudu mpira huku akionesha burudani safi --tizama video
hapo chini-- , kiasi cha kuwekwa kwenye ukurasa wa tovuti
kubwa ya habari 'mpwito mpwito' ya The Sun ya Uingereza, anatafutwa na
Chuo kimoja cha nchini Marekani, kwa mujibu wa tweet ya Robert Alai.
Yeyote mwenye taarifa ama maswali kuhusiana na hili, tafadhali wasilana na Alai kwenye twitter.com/RobertAlai
wavuti
Yeyote mwenye taarifa ama maswali kuhusiana na hili, tafadhali wasilana na Alai kwenye twitter.com/RobertAlai
3 comments:
Hutu binti anastahili kuwekwa kwenye kambi maalumu,kweli anakipaji na Mungu wa majeshi ambariki amina
omG omg. ..I prayed for this lady jamani. .niliona hii video muda nkasema Ee Mungu mpe wafadhili kipaji chake kisipotee...oh jamani. Nafurahi na please u tu update kitakachoendelea ..simjui ila ninaamini God is good. .Mungu ni mwema.
The anointed ones always stands out. Ur future is larger than u can imagine. Just need to get to the right time& right place. Wish u great big things,u r in my prayers!!!
Post a Comment