ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 22, 2014

DIAMOND PLATNUMZ APAGAWISHA JIJINI BRUSSEL

 Diamond Platnumz akifanya mavituzz ukumbini na wacheza show wake wakiwa wanaendeleza manjonjo
 Waaaawwwoohh..ni umati haswaaa..kweli Diamond anapedwa
 Diamond Platnuz kijana mdogo mwenye mafanikio katika mziki na kimaisha akiimba wimbo wa nimpende nani
 V.I.P. table ilijumlishwa na viongozi mbalimbali,pichani ni mke wa Mh: wa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi bwana Kamala aliyevalia nguo ya mizungo miyeusi na miyeupe
 Hapo sasa..Diamond Plutnumz akiendelea kukonga nyoyo za waliofika kumshughudia show yake
 Sema naeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..!! warembo toka Tz wakishangilia show ya Diamond ikiendelea.
                                                              OOOooyoooooooooooh
 Ooooooiiihhh!!! Ni peace n' Love toka kwa watoto wa nyumbani
 Umati wa watu wakiendelea kupata burudani ya muziki toka kwa msanii Diamond Platnumz
Ngololo aai ngololo mama  ngololo...... and show me how they do ngololo ngololo ni Saidi Biboze na dada yake Zuhra Biboze wakijiachia kwa raha zao.
 (Picha zote na Maganga One Blogger)
kwa picha zaidi bonyeza maandishi hayo chini
 (Picha zote na Maganga One Blogger)

2 comments:

Anonymous said...

mmeoona cheche za diamond mmeona si watu wa new jersey hawa wanampenda diamond kikweli kweli na wala hawana shida ya kutoa kiingilio

Anonymous said...

Mkuu, mtu hutoi kiingilio tu eti kwa sababu ni Diamond....unatoa kiingilio kwa kitu kikufurahichasho. Kule kwenda kumuona Diamond ilikuwa ni kumpa support tu lakini siyo kama we are his fans. Not!