ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 26, 2014

EMMANUEL MBASHA AONGEA NA GLOBAL T V, AMUOMBA MKEWE FLORA ARUDI ILI WAENDELEE KUISHI PAMOJA NA KULEA MTOTO WAO [ VIDEO ]


Emmanuel Mbasha (32) Alipoongea na global TV alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana.
Kujuwa zaidi n ya moyoni kutoka kwa Emmanuel angalia video hapo chini

1 comment:

Unknown said...

wadogo zangu nawaomba mrudiane maisha yanapita sisi niwa kupita kamwekamwe msimsahau YESU ALIYE WANUNUA flora rudi nakuomba mdogo wangu katika Bwana sisi niwakupita dunianiRUDI YOTE YANAPITA MAGARI NAMALI VINAPITA RUDIANENI HARAKA NAOMBA KWA UNYENYEKEVU NTUNIENI NAMBA ZENUZASIMU KWA EMAIL HII ;resgrentz@yahoo.com nimm kaka yenu katika kristo yesu