Sunday, June 1, 2014

HII SASA LAANA: MMOJA WA WANAOLAWITI WANAUME ARUSHA ANASWA.........

Mmoja wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha Chekereni nje kidogo ya Jiji la Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa wanakijiji muda huu.
Hii inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili kukomesha vitendo hivyo..
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea...
 Mmoja wa watu wanaodaiwa kulawiti wanaume Chekereni, Arusha akiwa chini ya ulinzi wa wananchi.

Credits to: Seria Tumainieli

1 comment:

Anonymous said...

na waonyesheni watu wakubwa wakubwa wenye wadhifa serikalini na wafanya biasha si eti kuwaonyesha walala hoi kila siku kuna watu wenye nyazifa zao na heshma zao katika jamii lakini mambo haya wanayafanya sana sasa hamuoni hiyo ni laana ila kwa huyu maskini yangu ndo mnaona laana?