Sunday, June 1, 2014

MAKUBWA HAYA,WACHAWI WAANGUSHA RADA USIKU!


Rada na matunguri yanayosadikiwa kuangushwa usiku na wachawi kutoka angani vimezua tafrani la aina yake jirani na kanisa la kilokole, Risasi Jumamosi lina mzigo kamili.
Mwinjilisti ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikagua vifaa vya wachawi baada ya kuangushwa.
Tukio hilo la aina yake lilijiri usiku wa Mei 25, mwaka huu maeneo ya Tazara-Maghorofani, Dar hivyo kuibua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo wakihofia kulogwa.
Habari zilieleza kwamba alfajiri ya siku ya tukio hilo, watu waliona matunguri kwenye uchochoro unaokatiza katika nyumba zao.

1 comment:

Anonymous said...

huyu muijilisti ndiye aliyeviweka vitu hivi haafu anazuga zuga zake za kuleta