ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 6, 2014

KILI MUSIC TOUR SASA NI ZAMU YA KAHAMA

Wasanii watakaopanda jukwaani katika Kilimanjaro Music Tour wamewasili mjini Kahama kwa ajili ya show. Wasanii hao ambao ni Shilole, Christian Bella, Madee, Mwana FA, AY, Rich Mavoko, Jambo Squad na Weusi wanatarajiwa kupanda jukwaani siku ya Jumamosi katika uwanja wa halmashauri ya Kahama kwa kiingilio cha Sh 2500. Mara baada ya kuwasili Mwana FA, AY, Rich Mavoko na Shilole walifanyiwa mahojiano na Kahama FM ambapo walielezea namna walivyojipanga kwa ajili ya show.
 DJChokaMusic 

No comments: