ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 6, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEK HII

Mussa, Mayor wa Brooklyn akipata ukodak nyumbani kwa Ebra, Mussa alipita nyumbani kwa Ny Ebra hili kumjulia hali. 
Dada Oliver kutoka New Jersey akipata ukodak na Ebra alivyomtembelea nyumbani kwake hili kumjulia hali.

1 comment:

Anonymous said...

tunaomba mkuu tuweke address na simu number yako ili tuje kukuona tafadhali na ugua pole mungu atakujalia utapona haraka amen.