ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 6, 2014

MHE. LOWASSA AZINDUA BWANA LA MAJI MONDULI

Waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akifungua kibambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo Ijumaa.Bwawa hilo ambalo limegharimu kiasi Cha shilingi bilioni moja unusu, lina ukubwa wa kilomita tatu.
Mh Lowassa na mkewe wakivishwa nguo za kimasai ikiwa ni ishara ya shukrani kutoka kwa wananchi wa Seleli,kwa kufanikisha ujenzi wa bwawa hilo ambalo ni mkombozi mkubwa kwa wakaazi wa eneo hilo an maeneo ya jirani.
Credit:DjChoka

1 comment:

Anonymous said...

Huyu sio waziri mkuu mstaafu!! tunachukulia mambo tofauti na yalivyo.Ni bora basi useme "aliyekuwa waziri mkuu" period. vinginevyo aliyeacha nafasi ya uwaziri mkuu!! kama mtu ameingia kwenye msahafu kinyume na utaratibu huyo anaachwa tunaangalia mbele!!