KUTOKA ITV,UNYAMA MWINGINE HUU HAPA KWA MABINTI WA NDANI
3 comments:
Anonymous
said...
Huu ni unyama wa hali ya juu!! Je kitengo cha haki za binadamu nafikiri mmelisikia na kulifanyia kazi. Wapenda maendeleo na WaTanzania tuweni na ubinadamu hawa watoto wanatusaida majumbani wakati tajiri unaingiza fedha lakini kipata wanacholipw ani kidogo na hatimaye kuambulia mateso, kauli chafu wengine hata chakula wananyimwa na kulala mahali pasipokidhi je HUU NI UUNGWANA??? mambo MBOTELA ALISEMA HAYA! Jamani wale wenye mioyo ya aina hi achene ubaya wakati naninyi mna watoto!!..
Hivi jamani binadamu hasa akina mama tunaelekea wapi? How could you do such a thing to another woman's child? Na wakati wewe pia umezaa? Halafu isitoshe baada ya yote hayo unamuachia tena msichana huyo huyo akuangalizie mtoto wako really? Ukikuta mtoto kawekwa kwenye freezer, oven au microwave utalalamika kweli? Kama ni stress za maisha au za mume basi mrudishe mtoto wa watu kwao na ukatafute mwingine. Ni hayo tu DJ Luke naomba saana usiibanie hii. Kwa kweli it's very very sad.
sishangai mimi nina mfano wa rafiki yangu miaka ya nyuma,alikuta housegirl kaweka mtoto kwenye oven,na kuondoka,by the time she got home,the child was baking totally dead,fundisho kwa wakina mama wenye roho mbaya,utafikiri hujaenda labor?

Post a Comment