Zilikuwa
ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu
yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima
uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema
yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya
saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti
wakililia wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe
hakulitegemea.
Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?
No comments:
Post a Comment