ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 4, 2014

Maadhimisho ya Miaka 5 ya Ibada ya Kiswahili (IYK) na Kusimikwa kwa Mch. Ipyana Mwakabonga. Juni 01, 2014

Mchungaji Ipyana Mwakabonga asimikwa Rasmi kuwa Mchungaji Kiongozi wa Ibada ya Kiswahili (IYK-Columbus, Ohio) Juni 01, 2014
  Mchungaji Ipyana Mwakabonga akipata Baraka kutoka kwa Watoto wa Ibada ya Kiswahili
Mr. Imanuel Lyatuu - Mwenyekiti wa Ibada ya Kiswahili akimtambulisha Mchungaji Ipyana Mwakabonga  kwa waumini wa Ibada ya Kiswahili
 Mr. Imanuel Lyatuu - Mwenyekiti wa Ibada ya Kiswahili akimtambulisha Mchungaji Ipyana Mwakabonga kwa Msaidizi wa Askofu Rev. Ed William
  
Msaidizi wa Askofu wa ELCA Rev. Ed William akimsimika Mch. Ipyana Mwakabonga kuwa Mchungaji Kiongozi wa Ibada ya Kiswahili
 Mwanzilishi wa Ibada ya Kiswahili Mchungaji Mandy Oleson ambaye ni Mchungaji kiongozi wa Zion Lutheran Church - Ohio akiwa na Mchungaji Ipyana Mwakabonga na Msaidizi wa Askofu Rev. Ed William
Kwa picha zaidi bofyansoma zaidi

Msaidizi wa Askofu Rev. Ed William alihubiri kuhusu mabadiliko ya mfumo wa maisha katika jamii na jinsi Makanisa yanavyopaswa kuitangaza Injili kwa kuzingatia mabadiliko hayo. Wachungaji walihimizwa kushirikiana na madhehebu yote katika kumwabudu MUNGU ili Injili ya YESU ihubiriwe kwa watu wote  

Mchungaji Ipyana Mwakabonga akiongoza Ibada ya Sakramenti ya Chakula cha Bwana 

Mchungaji Ipyana Mwakabonga akibariki Mkate katika Ibada ya Sakrament ya Chakula cha Bwana 
Mchungaji Ipyana Mwakabonga akibariki Mvinyo katika Ibada ya Sakrament ya Chakula cha Bwana
  Mchungaji Andrea Mwililino wa Minnesota
 
 Rev. Joseph Bocko, Ph.D - Program Director, African National Ministries under Evangelical Lutheran Church in America (ELCA)

Waumini wa Ibada ya Kiswahili wakisikiliza mahubiri ya Msaidizi wa Askofu Rev. Ed William
Waumini wa Ibada ya Kiswahili wakisikiliza mahubiri ya Msaidizi wa Askofu Rev. Ed William
 Mwinjilisti Douglas Mmari wa Minnesota na Hope Ministries Tanzania inayoendesha HOMITA Radio Ministrty
 Mch. Festo Mutashobya kutoka Philadelphia
Dr. Frank Mwakasisi wa Mighty Outreach International - Chicago

 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kimara - DSM, Tanzania Mchungaji Wilboard Mastai akiwa na mwenyeji wake Ndugu Mwitula wa Chicago, Illinois
Mchungaji Gerald Ole-Nguyaine anayemalizia masomo yake ya PHD hapa Ohio, University of Ashland 
 SIFA Group - Kwaya - Columbu, Ohio
 Picha ya Pamoja ya Wachungaji na Wainjilisti kuanzia kushoto ni Mwinjilisti Douglas Mmari, Pastor Tim Muller, Pastor June Wilkins, Rev Ed William, Mch Ipyana Mwakabonga, Mch. Andrea Mwililino, Pastor Mandy Oleson, Mch Festo Mutashobya, Bichop Douglas Muchiri and Pastor Mhilu Kiluwasha
 Kwaya ya Umoja - SDA & IYK Choirs perfoming "Marvelous"
  Sister Jacky and Pr. Tim
 Brother Bidan and Pr. June
 Mch. Ipyana Mwakabonga na Mama Mchungaji Stella Mwakabonga
 Brother Bidan Mchao
 Walezi wa Ibada ya Kiswahili Mwl. Deo Tungaraza na Mzee Kavishe
 Kamati Kuu ya Ibada ya Kiswahili wakimkabidhi zawadi Mchungaji Ipyana Mwakabonga
  Baba na Mama Mchungaji Ipyana wakisakata dansi la YESU!! "Ebenezer"
 Baba na Mama Mchungaji Ipyana wakisakata dansi la YESU!! "Ebenezer"
 Wanakamati na Waumini wa Ibada ya Kiswahili katika dansi la nguvu la YESU
Wanakamati na Waumini wa Ibada ya Kiswahili katika dansi la nguvu la YESU

No comments: