Makamu wa Rais Dk. Mohamed Bilal, atembelea Dubai Sports City
Kulia mwa Makamu wa Rais, ni Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City. Kulia mwa picha ni Balozi Mbarouk, na kushoto mwa picha ni Balozi Mdogo Omar Mjenga.
No comments:
Post a Comment