ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 21, 2014

MUSSA SALEH, MTANZANIA ANAYEMILIKI MGAHAWA ALBANY, NEW YORK


Mussa Saleh akiongea na NY Ebra ndani ya mgahawa wake uliopo Downton Albany, New York uliobeba jina la Lax uliopo mtaa wa Lark kwenye anuani 205 Lark St, Albay, NY 12210. Mussa Saleh anayetoka Zanzibar aliyezaliwa Songea. Mussa Saleh alikuja Marekani miaka 17 iliyopita na alifikia Harlem, New York na baadae kuhamia mji wa Albany na kufanyakazi kwenye mgahawa unaouza vyakula vya Kichina kama mpishi mkuu kwa miaka 9 na baadae kuamua kufungua mgahawa wake mwenyewe unaouza vyakula vya asili ya Asia, Italia na mchanganyiko wa vyakula vingine . Mussa Saleh katika mgahawa huu yeye pia ndiye mpishi mkuu na sasa amefikisha miezi 9 tangia aununue,

 NY Ebra akipata menyu kwenye mgahawa wa Lax uliopo mtaa wa Lark mjini Albany.
 Wateja wakijipatia chochote
 Wateja wakipaatika kanywaji.
 Maongezi yakiendelea
Ndani ya mgahawa.

2 comments:

Anonymous said...

Duh sikujua nimetoka Albany siku za Karibuni ningeenda kula . Hongera sana Manzanita mwenzetu.

Anonymous said...

ebra umeshapona nilikuwa nataka nije nikuone?