ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 21, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO ALBANY MJI MKUU WA JIMBO LA NEW YORK

Albany ndio mji mkuu wa wa jimbo la New York ambao upo maili 135 (217 km) kaskazini ya jiji la New York, mji wa 4 kwa ukubwa katika jimbo la New York na 58 kwa ukubwa nchini Marekani na wenye wakaazi wapatao 98,000 kutokana na sensa ya 2010. Albany uliokuwa chini ya Wadachi mwaka 1614 na baadae kuchukuliwa na Waingereza mwaka 1624 na kuita City Albany mwaka 1664 na kuwa makao makuu ya jimbo la New York mwaka 1797. Mwaka 1810 Albany ulikuwa ni mji mmoja wapo maarufu miongoni mwa miji 10 nchini Marekani.kwenye karne ya 19, Albany ilikuwa kati ya miji ya kwanza Duniani kuwa na mabomba ya maji, mifereji ya maji machafu, umeme na gesi asili. 
Majengo yaliyopo makutano ya N Pearl St na Steuben St mjini Albany, New York.
Jengo Ofisi ya  New York State Comptroller
Hapata ni South Pearl St.
Empire State Plaza
mitaani

1 comment:

Anonymous said...

mnaweza kutuambia kama hu drive public transportation ni ghani mtu unachuku hadi kufika huko natamani sana kufika huko nipaone kwa public transportation. na tanguliza shukrani ahsanteni wakuu naomba msaada wenu huu.