ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 19, 2014

NGUMI KUPIGWA ULONGONI B JUNI 21 GONGOLAMBOTO

Bondia Said Uwezo kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai pub ulongoni 'B' gongolamboto
Bondia Said Uwezo kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai pub ulongoni 'B' gongolamboto 
Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana juni 21 Uwzo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa swai pub ulongoni 'B' gongolamboto

No comments: