ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 23, 2014

SHUKRANI ZA DHATI KUTOKA KWA TANO Ladies

TANO Ladies wanatoa shukrani za dhati kwa watu mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuhadhimisha Awamu ya pili ya usiku wa mwanamke wa Kitanzania 2014. Shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula na wanawake wote walioshiriki katika kufanikisha usiku huo wa aina yake.pia tuna washukuru wadhamini wetu wote:Taste of Tanzania, NASHONA,SHINA INC ,IskaJoJo Studios ,Marbella Events Inc,All Afrika Travel and Logistics, SERUWAGE,Vijimambo Blog,Swahili Villa, KWANZA Producton, Three Angels, MBEZI Garden Hotel,Miss Tanzania USA,DEDA's Couture by Phena,METRO Tires, Hatuna cha kuwalipa,lakini wema wenu haujaenda bure!Kwa maswali na maoni tafadhali wasiliana nasi kwenye , tanoladies@gmail.com. Ahsanteni sana kwa kuwa sisi pekee hatutaweza lakini kwa ushirikiano nanyi, tunaweza!Ahsanteni sana.
                                                                MABADILIKO NI SASA!
Tafadhali bofya hapa na ujipatie kopi yako FREE! 

1 comment:

Anonymous said...

Well done ladies.