Brazil
Nyakunga (kulia) ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati
ni bosi wake Goodluck Mbehale (mwenye shati la kitenge), wamekamatwa
mkoani Iringa, kwa kufanya utapeli, wakijidai wao ni Askari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amesema maaskari hao feki, wamekuwa wakiwatapeli wakazi wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na maeneo ya jirani.
1 comment:
Asanteni. Mpaka hapo ni hatua gani mnazichukua je hamjui kunaweza kuwepo wengi zaidi. Na lazima kupata uhakika wa hizo uniform zilivyopatikana! Yawezekana kuna mtu ndani ya jeshi lenu anazitoa.!!
Post a Comment