Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba kuelezea huduma hiyo mpya ya "Wastaafu Loan"
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Masha Mshomba, akiwakaribisha wageni waalikwa na kuwatambulisha maafisa wa Mfuko huo.
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo, akitoa hotuba yake.
Baadhi ya maafisa wa benki ya posta Tanzania (TPB) na wenzao wa PSPF, wakifuatilia magtukio yaliyokuwa yakitokea kwenye uzinduzi huo.
Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Kulia), akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (Kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa huduma ya "Wastaafu Loan" jijini Dar es Salaam Juni 20, 2014
Katibu Mkuu Kionmgozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayigu(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi), Wakwanza kulia) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa wamenyanyua juu mikono kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfuko huo kuwakopesha wastaafu amabao ni wanachama wake kupitia benki ya Posta "Wastaafu Loan",. Hafla ya uzinduzi huo ulifantyika jijini Dar es Salaam jana.
PICHA NA PSPF
No comments:
Post a Comment