ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 13, 2014

SHUKRANI- HARAMBEE YA KUMCHANGIA NDUGU ERICK BAHUNDE



Ndugu Erick Elisha Bahunde  pamoja na Ndugu na Jamaa Marafiki, wanatoa shukrani zao za dhati kabisa kwa Watanzania wote toka hapa DMV na maeneo ya jirani, Jumuiya ya Watanzania hapa DMV  na kamati ya maandalizi kwa upendo wao  wa kuhudhuria na kisha kufanikisha shughuli ya harambee iliyofanyika Jumapili tarehe 8 June 2014 kwenye  viwanja vya Sligo Creek Park Way, Silver Spring, Maryland, USA.
Shukrani hizi pia ziwaendee wale wote ambao hawakupata muda wa kufika lakini wakatoa michango yao ya hali, mali na mawazo. Pia shukrani ziwaendee wana habari wote hapa DMV  na sehemu zingine duniani ambako tangazo lilisomwa.

 “AJALI HAINA KINGA, LEO KWANGU KESHO KWAKO”
NA “KUTOA NI MOYO NA WALA SI UTAJIRI”.

ASANTENI  SANA

9 comments:

Peace said...

Erick/Elisha muombe Mungu akupe moyo wa Imani UWEZE KUWAKUMBUKA WATOTO WAKO WADOGO ULIOTEKELEZA WASHINGTON NA HUKO TANZANIA.
MIMI KAMA MWANAMKE NAICHUKIA SANA TABIA CHAFU ULIYO NAYO YA KUTUMIA WANAWAKE. UMEWALIZA WANAWAKE HUKO TANZANIA, UNA MLIZA MKE WAKO WA SASA HIVI HAPO MARYLAND NA WATOTO WAKO. HIYO MI CHANGO UNAYO CHANGIWA UNGEWAKUMBUKA HAWA MALAIKA WA MUNGU. NA UKUMBUKE KUNA KITU KINA ITWA LAANA YA MKE, NA HAYA MACHOZI YOTE WANAYOYATOA HAWA WANAWAKE HAYAENDI BURE.
ERICK VUA NGOZI YA KONDOO BE A REAL MAN NA USICHEZEE/ KUTUMIA JINA LA MUNGU KWA UCHAFU UNAOUFANYA.
WAOMBE MSAMAHA HAWA WANAWAKE WOTE, NA BE A FATHER TO YOUR CHILDREN.
SAMAHANI WASOMAJI LAKINI NAUMIA SANA KWA TABIA CHAFU YA HUYU KIJANA

Anonymous said...

WEWE MAMA KAMA ULIPITIWA NA ERIC NA ULIACHWA NA ERIC HAPA SI MAHALA PA KUTOA WOSIA, USHAURI WALA OMBI. JE HUNA EMAILS YAKE, NAMBA YA SIMU ? WANAWAKE WENGINE BWANA YAANI UMEONA UKIANDIKA HAPA ITAKUSAIDIA NINI? ETI AOMBE MSAMAHA? WEWE ULIYEANDIKA USIFIKIRI UNAJENGA ILA UNAJIBOMOA MWENYEWE...TATIZO MKIPENDANA NA MTU MAPENZI NI MOTO MOTO..MKIACHANA INAKUWA VISA TU BADALA YA KUTAFUTA PA KUTULIA AU HUYO ULIYENAYE NAYE UMEKUTA NI BOMU BORA ERIC...ANGEKUFA SI UNGEFANYA PARTY WEWE?? SASA TUSIBIRI MALIPO ANAYOLIPWA HAPO NDIPO UTAKAPOSHIDA ADABU...

Anonymous said...

vijimambo moto si mchezo habari ndo hizi live tunazipata luke hongere baba kwa kutupasha majamboz ya watu

Anonymous said...

na nikweli ukisoma hii comment mtu unajumulisha hivi kwa nini hatujamuona mkewe hapa Washington Maryland pamoja na wanawe au ndo kishamuacha?

wanawake mfunguke na macho si kufuata pesa za mwanamme au cheo chake ni chake kitafute chako ndo utapata heshima yako ukikaa na kutafuta pesa za mwanamme na cheo chake utalizwa sana si mchezo wanaume hawana huruma mwanamke umeubwa kuwa na huruma na mwanamke yeyote usijidhalilishe kwa mwanamme hata kama unashida zako wengi wanakuja kwako kwa kutaka kukuharibia si kukujengea ni wachache sana wanawajenga wanawake ndo maana kuna msemo BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN THERE IS A GOOD WOMAN NA hakujasemwa kwamba Behind every successful woman there is a man kwa sababu hakuna ni wachache sana.

kuweni macho wanawake

Anonymous said...

Wewe Dada usituletee mambo yako ya mapenzi hapa , kama kakuacha hapa zio mahari pake ,tafuta jingine huna hata haya kwa masikini ya mungu yupo kwenye mud a mgumu ! Kweli we MTU unaroho mbaya , unadeserve kuachwa , na ulaniwe

Anonymous said...

Wewe Dada unayejiita peace una peace gani ? Mbona unaingilia mambo yasiyokuhusu ! Unahakika gani kuhusu wanae? Au ulilala nae,, pls siyo mahali pake hapa kama haukutoa mchango we kaa kimya tu

Anonymous said...

kwa kweli hapa sio mahali pake pa kuandika au kuposti vitu kamahivi.mimi binafsi naona kuna habari nyingine hazitakiwi kupostiwa humu.tunatakiwa kuchujua habari zingine zinaziletwa kwetu kwani hii ni kudamage binadamu mwenzenu.Mwenzenu yuko kwenye wakati mgumu na kama haitoshi mnamtilia chumvi kwenye kidonda Hukuna mtu aliye perfect.Hapa sio mahali pa kutuwekea mammbo haya n wengi tunatakwa kukaa out of this.Please hebu mugopeni mungu nyie watu. How are we to charge!!!

Anonymous said...

wrong wrong wrong hii comment haikutakia hata kuwaposted humu.huyu mwanamke no wonder kachwa NONSENSE!!!!!!Sasahuyu kak angekufa si angefana party huyu.MUOGOP MUNGU We DADA LOH mwache kaka wa watu,SHM ON YOU...USHINDWE NA ULEGEEE!!

Peace said...

Narudia tena HUYU ERICK/ ELISHA BAHUNDE NI MCHAFU NA MKATILI KAMA MNYAMA. amevaa NGOZI YA KONDOO. KINA MAMA FUMBUENI MACHO NA MSIWE WEPESI WA KUREACT KAMA HAMNA FACT. WANAWAKE WENZENU WAMELIZWA/ABUSED.
ERICK UNAJUA UNYAMA ULIOTENDA KWA WANAWAKE ULIOTAPELI, TUBU!