ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 25, 2014

TANGAZO KWA UMMA

THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES 
IBADA ZA KANISA KWA KISWAHILI
Kanisa la the Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwatangazia waumini na watu wote wanaopata huduma ya neno la MUNGU kwa lugha yetu ya Kiswahili kuwa ibada zake zimehaimia kwenye anwani hii:-
3601 HAMILTON STREET
HYATTSVILLE, MD 20782 
Njoo umwabudu MUNGU wako kwa lugha ya mama, lugha ya Taifa, lugha ya Kiswahili. 
Ibada zetu ni kama ifuatavyo:
Jumamosi : 4:00pm -6:00pm- Mazoezi ya Kwaya
Jumapili: 1:00PM – 3:00pm, Ibada kamili
Maombezi kwa watu wote wenye shida na  wagonjwa hufanyika siku ya  Jumapili

Kwa maelezo Zaidi tafadhali wasiliana na:
Mchungaji: 240-476-6718
Mwinjilisti: 240-291-5874
Katibu:- 240-217-6335
KARIBUNI SANA

No comments: