"To my Muslim Community, a blessed month of Ramadhan to you and your families; May the Spirit of this special month illuminate your homes and your souls"
For those in USA, Taste of Tanzania has reduced the price of Pilau Masala for this month of Ramadhan. Its time to stock for Eid-Ul-Fitr. http://www.amazon.com/gp/product/B00G2U1NW6/ In Addition coming just on time for Eid-Ul-Fitr, Taste of Tanzania: Modern Swahili Recipes For The West, cookbook is now Available at Amazon World-wide. Check Amazon in your country. Also in USA you can get at Walmart and Barnes and Noble Online or ask your nearest store. Now on sale at Amazon USA http://www.amazon.com/dp/0988735903/ Thank you Miriam Kinunda Author of Taste of Tanzania Cookbook
3 comments:
Hongera kwa kuandika kitabu chako lakini kwanini tunapenda kutajirika mapema sana? Hicho kitabu unauza $30 kinakuja na jiko lake? Jifunzeni basi hata bishara ili ujue watu watanunuaje kitabu chako.
Hichi kitabu hata kama ni kizuri kiasi gani $30.00 is too much money you are asking. Ni heri uweke hela inayoeleweka ili uuze vingi kuliko kuweka price ya juu sana halafu uuze vitabu 100 tu.
Compare vitabu vya mapishi vinauzwa vya watunzi wanaojulikana sana na vya wapishi mashuhuri, halafu angalia wapinzania (competition) yako wao wanauza kiasi gapi (Ethiopia, Kenya, Rwanda) mapishi yetu ni sawa. Angalia vitabu vyao wao wanauza kiasi gani? Na hata ethnic groups zingine (India, Middle east, Thai, Philippines) je wao wanauza ngapi? Halafu wewe uweke hata $2 less au $2 more ili usiwakimbize watu sana.
Na kingine kabla ya kupanga bei jiulize hichi kitabu soko lake ni lipi na kitanunuliwa kwavile watu wanahitaji sana niliyoyaandika humu au watanunua kwa ajili ya mimi mwandishi watu wananifahamu na kutaka kujua ninalosema? Baada ya hapo ndio unaweka price kutokana na jibu lako na kutokana na marketing campaign yako.
Hiyo price sio ya kumfanya hata mtu asiyekujua au asiyejua nini kinapikwa Tanzania atamani kujaribu kununua ili ajionee mwenyewe. Soko lako kuu litakua ni Tanzania kwa vile watu wengi hawaijui Tanzania. Hivyo sio kua mtu akiingia Amazon na kuona mapishi ya Tanzania atatamani kujua wanakula nini. Kwa wengine wanabidi wagoogle Tanzania ni wapi kwanza? Na Tanzania kwa bei hiyo watanunua matajiri tu na huku marekani kwa bei hiyo ni wachache sana watakao nunua ukizingatia ukigoogle siku hizi kila kitu kina jitokeza. Hivyo watakaonunua sio watu wasiokujua bali ni wale wanaokujua na kuamini mapishi yako. Wale watu wanaokujua na kutaka kuwa na kitabu ulishokiandika kiwe ni cha mapishi au la (rafiki zako na familia yako) Sasa je umeshajiuliza ni wangapi?
Hiyo price umeweka kama vile watu wanakujua sana na watataka sana kujua ulichokiandika au unachokula kila siku (Kadarshians) au ulichokiandika ni muhimu sana au watu watataka kununua tu kitabu hicho kwa vile kimeandika na wewe (Hilary). Kama majibu ya hayo maswali yote ni Yes basi endelea kuuza kitabu chako kwa bei hiyo. Kama ni NO badilisha price.
Kumbuka faida ya biashara ya vitabu hasa hasa vya kupika haiji katika bei ya vitabu bali idadi ya vitabu unavyouza. Na kwa wengi wanaoandika vitabu vya mapishi ni kwa hobby au kukuza biashara yake nyingine ambayo itajitangaza kupitia hicho kitabu. Au kwa kuandika hicho kitabu kitakusaidia kufungu milango mingine ya opportunities. Hivyo cost za kupublish kitabu zinamezwa kwa kutegemea hivyo vitu vingine. Sasa kama umetumia publishing company iliyochukua gharama nyingi sana basi go kwenye route ya POD (publishing on demand) Itakusaidia kukata cost za production na kuweka kitabu chako kwenye reasonable price.
Ukweli kitabu chako chenye page less than 200 kingetakiwa kuuzwa sio zaidi $15.00 hivyo hata kama unauza juu sana $24 still ni nyingi sana. Kumbuka siku hizi disposable income sio nyingi kama zamani hivyo watu wanafikiria, wanacompare kabla hawajaspend hela zao kwenye kitu chochote.
Huo ni ushauri kutoka kwa mfanya biashara Marekani 30+ yrs in America. Ukitaka kusikiliza sikiliza usipotaka basi tena...Good luck
Miriam, kama umeamua kunadi kitabu chako kwenye blog kama hii ya kitanzania, nategema Mdau hapo juu amekupa ushauri mzuri sana na nadhani utamsoma kwa makini na kujaribu kuyashughulikia yaliyomo. Kwa mtu wa kawaida msomaji wa blog hii kuilipa $30 kwa kitabu cha mapishi ni pesa nyingi, achilia mbali $11 kwa viungo vya pilau. That said keep up the good effort Miriam!
sasa wewe mdada sijui mkaka hapo juu mbona huna hata jina lako au jina la bishara yako?sasa huyo mwandishi akitaka kukutafuta kuzidi kupata ushauri wako wa bure atakupataje?navyojua mimi kama kweli una uzoefu huo unaosema hapa marekani watu wanamna yako hawako hivyo hata kidogo.oops lakini inategemea na bishara unayoifanya:)THANK YOU MIRIAM FOR YOUR HARD WORK KUTANGAZA NCHI YETU AMBAYO WENYE NCHI WENYEWE WANANGOJEA WAGENI WAWATANGAZIE NCHI YAO.
Mtanzania mwenzako,Malika-MN
Post a Comment