Raphael Faida na Joy wakiachia smile za kisomi somi siku ya BBQ ya kuwapengeza iliyofanika Roosevelt Island. NY.
Gaston kulia akipata ukodak na wasomi
Ukodak ukiendelea kama unavyoona
Raphael Faida akitoa shukrani kwa watu waliojitokeza katika BBQ hiyo. Raphael pia ni mweka hazina kijana wa NYTC aliegraduate na kupata Masters.
Joy nae akiongea machache kwenye BBQ hiyo kwa kutanguliza shukrani zake.
Raphael kushoto akipata ukodak na Dr Temba, Seif Akida kada wa CCM NY na Mhella katibu wa NYTC. Kwa Taswira zaidi nenda soma zaidi.


1 comment:
Congratulations Raphael and Mkapa: Next, go to the last step: Ph.D
Post a Comment