ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 26, 2014

VIDEO YA DKT ALIVYOKUTWA AKIMCHOROPOA MIMBA MWANAFUNZI

3 comments:

Anonymous said...

Hivi hawa global publishers wamekuwa polisi? mbona wanakusanya ushahidi bila hata kufuata masharti? Wana haki gani wao ya kunyanyasa watu? Binti kaenda mwenyewe kutolewa mimba, Dokta hajamfata amlazimishe. Mbona wasimtafute huyo aliyempa mwanafunzi ujauzito? Je is there an offence of accesory to an attempted abortion?
Makubwa haya

Anonymous said...

Duuuh hii kali kwani kutoa mimba na kukeep si maamuzi ya mtu binafsi, sitetei utoaji mimba but has their own choices in life huyo Dr. Kakosa nini hapo

Anonymous said...

Ningeona wanaakili hawa global Kama wangeanza kuliza Kama hii hosp imesajiliwa na mmiliki ni nani.kwani hosp za aina hii ni nyingi tz.hapo hawazuii tatizo kesho tu atatoka Huyo doc system nzima imeoza.tz mungu tu anajua