ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 29, 2014

VIVAZI VYA MISSY TEMEKE VILIVYOTAMBA NDANI YA USIKU WA WANAWAKE DMV

 Juu na chini ni vivazi vilivyobuniwa na mbunifu maarufu wa pwani ya mashariki ya Marekani Missy Temeke CEO wa KWETU Fashion yenye maskani yake Sliver Spring Maryaland. Vivazi hivi vilikuwa vivutio ndani ya usiku wa wanawake uliondaliwa na Tano Ladies siku ya Jumamosi June 14, 2014 ndani ya ukumbi wa bei mbaya wa Martin's Crosswinds wa Greenbelt, Maryland.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi