ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 16, 2014

APATA KIPIGO BAADA YA KULA MCHANA PEMBA


Jana mchana, mtu mmoja kisiwani Pemba amejeruhiwa vibaya baada ya kupata kipigo kutoka kwa
askari jamii. Mkasa huo umetokea katika kijiji cha Msingini Chake chake mkoa wa kusini pemba ambapo Polisi jamii wa Shehia hio waliamua kumpiga mtu huyo baada ya kuonekana akila mchana akiwa pamoja na wenzake watatu ambao walifanikiwa kukimbia na kutokomea kusiko julikana.

(Chanzo : Mazrui Media & Communication)

18 comments:

Anonymous said...

Mfungo wa Ramadan na kupiga watu wapi na wapi, isitoshe mtu mwenyewe labda siyo dini yao.

Anonymous said...

ndo inavyotakiwa hivi simamisheni dini sawa sawa wanaafik wapigwe kama huyu sasa tuleteni mfumo kriston mtatutambua huku pemba

Anonymous said...

Huo ndiyo uislam unafikiria vitu vidogo vidogo visivyo na maana. Kama huyo mtu/watu walikuwa wanaugua kisukari au siyo waumini wa dini hiyo? mmekalia unafiki tu, kupiga si ndiyo dhambi zaidi? Sasa mmejeruhi vibaya kwani amekosa nini....hata akila si yeye na Mungu wake? Kwani huko ahera mnaenda kama kundi au kila mmoja anaenda kivyake? mnasikitisha ninyi waislam sijui mtakuwa na akili? Mambo haya haya ya Boko Haram yalianza kama ujinga ujinga huu mnaonyesha. UPUUZI MTUPU.

Anonymous said...

Hapo umenena kitu wasilamu wanaohanzisha fujo duniani alafu wanajifanya wanamcha mungu wapuuzi tu

Anonymous said...

Musichambe Sana mukaondoka na mavi kwa hoja zenu potofu kwa kutojua ukweli.

Habari hii haijitoshelezi. Musitafute sababu za kudhalilisha uislam na waislam na wazanzibari.

Vizee vikiuliwa mkoani Mbeya iwe kimya, albino akiukatwa mguu mara iwe kimya. Mpemba akijamba iwe jahannamu.

Wacheni uzushi na uzandiki. Zanzibar si nchi ya Kiislam na wala si nchi ya Kikristo. Lakini Religious Tolerance ni fahari yetu. It can't be justified that those whipped are for religious reasons?. Polisi jamii Zanzibar tunzeni Mila na desturi zetu kwa umakini na ustarabu ili kuepusha tafsiri mbaya kwa mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na kutunza heshima ya dini yetu na heshima ya visiwa vyetu. Busara iwe mbele. Huruma iongoze.

Ramadhan Mubaraq.

Anonymous said...

njoo pole pole wewe mdau mwenzetu na usije kwa jazba haba na kushifu dini yetu ya kiislamu na waislamu wote tafadhali njoo pole pole ukitaka kuelimishwa utaelimishwa kwa ustaarabu.
kwanza wewe unajua anaowafadhili hawa boko haramu kama hujui sema utajuziwa.
na lapili hakuna vitu vidogo vidogo na usilamu unafikiria yote madogo na makubwa kwako wewe unaona mambo madogo kwa wenzako si madogo.

na unadhani muislamu anaye umwaa,kwa magonjwa kama yakisukari,na menginewe na pia wazee na watoto wadogo wanalazimishwa kufunga unavyodhani hivyo basi hujui uislamu uliza utajuziwa.

linginewe wewe unajuaje kama huyu mtu si wadini hii ya kiislamu au mgonjwa? wewe unadhani watu wanawazimu wa kuwapiga watu ovyoo na hii picha inawezekana ikawa si ya mtu kutoka pemba imebandikizwa tuu kwani hujui usani katika media?

na dj luke na team yako ya vijambo na nyinyi pia acheni choko choko na habari za choko choko kama hizi nimegundua sana unachokoa chokoa mambo na kuweka story za uchochezi

la pili anonymous wa mwisho hapo juu usidhani watu wanashindwa kukujibu kwa jazba na kwa matusi tunaweza ila tunakustahi sana na kukupa heshma ya ubinadamu wako.

wewe kuwa na dini yako na sisi tuachiye na yetu ukitaka kujibu uliziya sio unakuja hapa na comment zako zisio na kichwa waala miguu na za utumbo utumbo hata wangombe unafaadhali.jiheshimu utaheshimiwa ukijitoa utu wa kujiheshimu hutoheshimiwa.

next time tutakuwakia.

kama msomi au mbumbumbu kama mimi jaribu basi kusoma maisha yanavyokwenda duniani na dini za watu usije tu na kihere here kama mbuzi usiyetiwa shemere.

Anonymous said...

Hasa upuuzi wa hali ya juu. Hiyo ruhusa ya kumpiga mtu mmeipata wapi? Mnaijua afya yake? Mnafahamu sio kila mwenedamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu anaweza kufunga? mnafahamu kuna watu wanakunya dawa maisha yao yote? Na wameumbwa na Mola wetu. Hapa ndio mnapoonyesha uislam una mushkeli. Ukesefu wa ustaarabu. Islam ni dini ya amani. mmesahau Kila akitakacho Mwenyezi Mungu duniani hufanyika? Sasa angetaka wote tufunge si ingeelewa hivyo kwenye Quran?

Anonymous said...

Acheni zenu hizo, habari inasema mtu huyu kapigwa kwa sababu alikuwa akila halafu ninyi sijui wapemba mnabisha nini? Sasa mbona hamjaeleza alipigwa kwa sababu gani mnarefusha midomo yenu ninyi waislaam wa huko Pemba......Iraq ilianza hivi hivi, Syria ilianza hivi hivi, Pakistan, Afghanistan, Nigeria, Niger zote zilianza hivi hivi....hakuna religion tolerance mnauana mkijua mtamaliza sect moja ya dini (Shiite au sunni) moja kumbe mnafanya ujinga ni kitu ambacho hakiwezekani. Mnakosana wenyewe kwa wenyewe kwa vitu vidogo vidogo tu angalia Saudi Arabia na Iran, Mwiisrael anawachachafya ninyi mnaendelea kulumbana, Wapalestina wanazidi kuuawa ninyi mnachofanya ni kugombana ninyi kwa ninyi. Mnatakiwa muende shule kidogo halafu muungane siyo kuona fahari za kuua ua watu, mstaarabike!!

Anonymous said...

Uislam umewataka wenye kuamini Mungu mmoja na uislamu watimize nguzo hii ya kufunga mwezi wa Ramadhani kama ilivyofaradhishiwa kufunga waliokuja kabla ya umma huu.

Uislam umeweka bayana kwa wasioweza kufunga kwa sababu za maradhi, kwa safari na, utaratibu maalumu upo kwa wenye hali hizo. Uislam Ni dini iliyoweka bayana hayo ambayo wewe yanakupa uzito wa kufahamu.

Iwapo hawa vijana wamepigwa mijeledi kwa kutokufunga hiyo SI hukumu iliyoelezwa kwenye Qur'an. Iwapo imetokezea kwa Pemba inawezekana Ni kulinda maadili na kuepusha Pemba kutumbukia katika dimbwi la sehemu za Tanzania zinazoiga ujinga wa maadili ya nchi nyengine.

Kaeni Mufahamu kwamba ustaarab wa wazanzibar, Mila na desturi zetu hazifanani na za kwenu bara. Tunashuhudia vizee kuchomwa Moto kwa tuhuhuma za uchawi huko bara, je ukiristo unawataka mufanye hivyo, albino munawakata viungo, munawakata kwa mapanga wake zenu.

Kwa Zanzibar. Wasio wafuasi wa uislamu wafuate maadili ya Kula kwa kujihifadhi majumbani mwao. Kupika na Kula hadharani Ni kuonesha kibri na jeuri. Mbona hawajapigwa watalii wanaokula mahotelini mwao.

Hamujalazimishwa kuishi Zanzibar. Kama hamuwezi kuthamini baadili ya walio wengi Zanzibar hameni. Kama hufungi pika sembe lako na sangara ndani kwako ule na wanao. Serikali SMZ iwetaka wasiofunga wathamani wanaotekeleza ibada hiyo kwa kipindi hichi.

Kwa Pemba wandaazimu wote wasioweza kufunga wanajuulikana, na wanaofanya kibri kwa jeuri cha Kula hadharani wanajuulikana, wenye Kula kwa kuheshimu wanaofunga wanajuulikana.

Ukifanya jeuri kuvunja maadili utachapwa tu, ili kulinda Mila na desturi zetu.

Anonymous said...

Ikiwa unataka kujua ya Israeli na palestina na Egypt na Iraq na Syria kasome. Qur'an, Taurati utafuta ujinga Wako. Ikiwa walimuasi Mungu na kumkanusha. Hao waisraili watamsikia nani. Kwani Nabii Issa, na Nabii Muhammad. Hawakuyaona haya ya waisraili. Nabii Mussa hakuona haya.

Mwenyezi Mungu Ni hakimu WA viumbe.

Usituletee utumbo Wako. Waislam wote wanaumia kwa matendo hayo. Hata hao mayahudi wenye kutafakari hawapendi. Hujaona maandamano Yao NY mpaka Seattle.

Wewe vipi!!. Mbumbumbu.

Anonymous said...

Wewe hapo juu unaongea usichokijua, wanaoua albino na vikongwe kule bara wanajua wanafanya kwa siri na wengi wao wanaishia kukamatwa na wote wanasubiri vitanzi, ni kama wale wanaomwagia watu tindikali huko kwenu visiwani ila wa huko kwenu hawakamatwi ingawa wanafahamika. Umesema si lazima tukae Pemba...ni sawa kwanza ni wabara wangapi wanapenda kukaa huko Pemba? Hao mnaowapiga ni miongoni mwenu ila kwa sababu tumeona kwenye hii blog ndiyo maana wengi wetu wakiwamo waislaam wastaarabu tunapinga hicho kitendo...tunaona hamtendi haki kwa sababu huyo mnayempiga akifa je? Na siku watu wengi wanatembea na matatizo mengi, utaieleza mahakama mliua kwa sababu huyo mtu alikula chakula wakati wa mfungo? Sidhani kama mahakama yenu na sheria zenu huko zinaruhusu watu kuuliwa au kupigwa mawe kwa ajili ya kula kwenye huo mwezi wa ramadhani.....mnaweza kunionyesha kwenye quran tukufu sura gani inaruhusu kundi la watu kumpiga mwenzao asoweza kufunga???? Mnatakiwa muwe wastaarabu...mkipiga na kuua mtakuwa mmemaliza tatizo???? Mbona tunaishi na wapemba wengi sana huku bara, na ni wastaarabu wala hatuoni tunayoona hapa kwenye blog?? Je hizo mnazoita mila na desturi mmejifunzia wapi?

Anonymous said...

mdau wa July 17, 2014 at 11:10 AM

ukiristo ndo una religious tolerance? na kama unao kwanini mnawapiga ovyoo watoto na wanawake na kuwaweka ndani kwa kuwabambikizia kesi za uongo waislamu, na masheikh zetu bara na visiwani na kote ulimwenguni?.

haya ndo mafundisho ya yesu? au hizi ndo religious tolerance zenu nyinyi wagalatia?

eti Iraq ilianza hivi hivi, Syria ilianza hivi hivi, Pakistan, Afghanistan, Nigeria, Niger zote zilianza hivi hivi na nani alizianzisha hizi kama si nyinyi WAGALATIA WA ULIMWENGU MZIMA.

unafikiri watu wajinga wamelala usingizi wa kufa mtu. kila mnapoona kuna manufaa na mnayataka katika nchi za waislamu mnatumia propaganda zenu na visingizio vya kupiga vita ugaidi na kuwateka na kuwauwa raia wasio na hatia unadhanii hatuzijui hizo propaganda zenu.

kwa taarifa zenu waislamu wa jana si waleo watu wameshaamka na waislamu wamesoma kuliko nyinyi WAGALATIA,TOKA UKOLONI MPAKA UHURU hakuna hata MGALATIA MMOJA ALIYESTAARABIKA KWA ELIMU na kuwa na religious tolerance zaidi ya uislamu.

kama hujui usome uislamu ujuwe siyo unakuja katika blog hii na kutoa comment zako za wazimu wazimu wa michepuko yenu.

Ustaarabu nyinyi hata mnaujua, si mmestaarabika hivi sasa ndo imekuwa nongwa

usilazimishe dini yenu ikawa ndo dini yetu kwa vile nyinyi kila kitu kwenu poa poa machafu yote poa poa lakini si sisi waislamu.Tunajitakasisha na kumkurubia mungu wetu kila siku.

mnataka kuzima noor ya uislamu hamtoweza kila njamaa mnatumia na mnashindwa na inshallah mtashindwa hivyo hivyo bi idhni lillah. mtabaki kuwa na nusoo za kutahayari ndani ya nafsi zenu. inshallah.

uislamu unakuwa na unatapakaaaa kile pembe ya dunia na utaendelea kukuwa inshallah despite za chuki zenu na propaganda zenu za kuupaka matope kila pembe ya dunia. mtabaki kutahayari hivyo hivyo na nafsi zenu.


MILE ZENU,DESTURI ZENU,DINI YENU SI ZETU. KILA MTU ASHIKE LAKE.

Mnajifanya wasomi sana kumbe usomi wa mbwa kukalia mkia.

Islam is the way of any human being life, halazimishwi mtu mwenye kula dawa maishani mwake kama hawezi kufungu.Kuna masharti anatakiwa ayatimize kama akishindwa kufunga.

uislamu ni dini ya neema na ya kiistaarabu unadhani ipo kama dini yenu nyinyi WAGALATIA

nakuambia tena waislamu wa hivi sasa si wajana na mlizani mtatufanya wajinga kumbe kibao kimekugeukiyeni wenyewe.

waisrael kuna mwisho wao utafika and its going to be very soon with a snap of a finger inshallah.

katika bibilia yenu King david alimshindaje yule jabari goliath?

na majabari walio tingisha dunia kama firauni,hitler leo wako wapi?

fungua bibilia ujikumbushiye king david alivyomshinda goliath.

so its just a matter of time israel will be destroyed one day because mungu hapendi dhulma na unafik wenu. watch my word and mark them very careful; one day you will witness this testimony of mine.

my advice to you read about islam before coming here to comment your ignorant comments.



Anonymous said...

mtawaona hivi hivi wapembe ndo wamekulaliyeni rohoni na mwiba umekukwameni rohoni msohaya.

Anonymous said...

Eti wenye kuua Albino wanafanya kwa siri!!!!!.

Tabia ya wabongo munajifanya muna akili saaana dhidi ya wazanzibari.

Yaani kukata viungo watu wenye ulemavu munakufananisha na kuchapa mijeledi kwa wahuni, wanaobwia kokeini na Kula mchana Pemba. Shame on you guys!.

Hizo tindikali nyie huko bara hamurushiani?.

Na kama hukujui Pemba. Njoo utembee uone ukarimu na utulivu WA watu WA Pemba.

Wacheni kuwapaka machafu wazanzibari.

Anonymous said...

Nakushauri uliyeandia maneno haya

Iraq ilianza hivi hivi, Syria ilianza hivi hivi, Pakistan, Afghanistan, Nigeria, Niger zote zilianza hivi hivi....hakuna religion tolerance mnauana mkijua mtamaliza sect moja ya dini (Shiite au sunni) moja kumbe mnafanya ujinga ni kitu ambacho hakiwezekani. Mnakosana wenyewe kwa wenyewe kwa vitu vidogo vidogo tu.

naona huna elimu ya kutosha au ndo ubongo umeshajaa media za kimagharibi zinazoku brain wash.

kama kweli unataka kujua chanzo cha ugomvi wote wa nchi hizo.

fuatilia the "great Israel project" na ambacho kinachoendelea Palestine sasa kutaka kuwafukuza ili wapanue makazi ya kiisrael.

vita vyote hivi havijanzishwa na waislamu wenyewe na wala hakuna cha kubaguwana ushia na ussuni kama corrupt media za makigharibi zinavyotangaza.

kama wewe msomi wa kweli jeulize marekani na Israel toka waanzishe vita je wamefanikiwa kujenga nini?kama si maauaji ya raia wasio na hatia.

wamarekani na waisrael ni mashetani waliolaaniwa.

Anonymous said...

Waislam kwa kutukana hamjambo...mbona mna hasira namna hiyo. Hamuwezi kuongea bila kutukana na kuleta ugomvi? Mimi si mwislaam ila kuna vitu nataka nivifahamu kwenye dini yenu lakini ninashangazwa sana mnavyokuwa na hasira na chuki. Teteeni pointi kwani matusi hayaleti majibu ila ni njia nyepesi ya kujidhalilisha.

Anonymous said...

waghalati nyinyi kwani hamtukani au hajui kutukana nenda zako huko

Anonymous said...

Sasa kama ni great Israel project kwa nini mnakubali iwachanganye.....KWA NINI MSIUNGANE?????? Kwa hiyo wanachopigania huko Syria ni Great Israel Project??? Ndivyo mlivyofundishwa na hawa wanaowadanganya. Najua ninyi mnaobisha mnabisha tu bila sababu na kuukataa ukweli....nimesema wanaouwaua albino wanafanya makosa makubwa ambao sisi wabara tunayapinga, kumpiga mtu asiyefunga nao ni uhalifu mkubwa ambao ukipelekwa kwenye mahakama utakutwa na kosa, sijui mahakama zenu huko zanzibar zinaona kama ni kosa lakini kwetu bara ni kosa. Kama kuna mtu anayo pointi anijibu kwa sababu wote walionijibu inaonekana hawajui wanaloongea na hivyo kunifanya niamini hawajafika angalau darasa la saba.