![]() |
| Costa katika moja ya matukio yanayoonesha makali yake |
Diego wapenzi na washabiki wa klabu ya Chelsea ya uingereza baada ya
kumwaga wino utakaomkalisha katika klabu hiyo kwa miaka mitano ijayo.Costa, leo hii
amekata kiu ya
Jose Mourinho alishindwa
kupata kikombe chochote katika msimu wake wa kwanza baada ya kurejea katika
klabu hiyo; Costa ana imani atasaidia kumaliza ukame wa mataji katika klabu
hiyo.

No comments:
Post a Comment