ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 23, 2014

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, asaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia.


Mhe. Omar Mjenga, akiweka saini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha
Wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole.
Mhe. Mjenga akimuaga mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia ofisini kwake.

No comments: