Advertisements

Friday, July 25, 2014

CHELSEA YAMPA ULAJI DROGBA WA MWAKA MMOJA

Timu ya Chelsea imekamilisha usajili wa mchezaji wake wa zamani Didier Drogba baada ya kumsajili kwa mkataba wa mwaka mmoja. Usajili wa Drogba Chelsea ni kutokana na ushikaji wa karibu alionao yeye na Jose Mourinho. Siku mbili zilizopita Jose Mourinho alisikika akisema Didier Drogba anaipenda Chelsea kutoka kwenye moyo pia alisema anamrudisha Drogba kwa sababu ni mmoja ya mshambuliaji mkali bara la Ulaya.

Didier Droga alimaliza mkataba na Chelsea msimu wa mwaka 2012 baada ya kuifungia timu hiyo mabao 157 katika mechi 341 alizochezea timu hiyo.

No comments: