Advertisements

Friday, July 25, 2014

PICNIC

THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES
*****PICNIC  -  PICNIC  - PICNIC******

Kanisa la the Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwatangazia waumini na watu wote  hapa DMV kuwa  limeandaa picnic kwa watu wote. Picnic hiyo itafanyika POINT STATE PARK kwenye Delta ya mto Potomac, kandokando ya Bahari ya Atlantic na karibu na Bay Bridge (maili 35 kutoka Washington DC)

ANWANI
1100 EAST COLLEGE PARKWAY
ANNAPOLIS, MD 21409

Njoo usikilize neno la Mungu kwa lugha ya Kiswahili na ushuhudie UBATIZO WA MAJI MENGI kwa baadhi ya waumini wake, upunge upepo wa bahari, uvue samaki na uweze kuogelea na pia ukutane na ndugu na jamaa zako kwenye upepo mwanana wa bahari. “Njoo na Kiti chako, Zulia pamoja na Mwamvuli

SIKU NA TAREHE
TAREHE  : JULY 26, 2014, SIKU YA JUMAMOSI
SAA: 11:00AM – 6:00pm,  church Van itaondoka Hyattsville, MD saa 10:30AM

Usafiri upo kwa watakaopiga simu mapema. Waleteni watoto waje waogelee.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:
MCHUNGAJI: 240-476-6718
MZEE WA KANISA: 443-636-1781
MZEE WA KANISA:- 240-645-2131
KATIBU:  240-217-6335
KARIBUNI SANA

No comments: