Exclusive Pictures From The Royal Wedding In Houston Texas
Loveness AKA Iron Lady kutoka Capital alikuwa Royal for sure.
Picha kwa hisani ya LillyMelody Blog Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
17 comments:
Anonymous
said...
Arusi Nzuri lakini mavazi hovyoooooo aliependeza ni bibi harusi tu na wavulana kuna miss mmoja makeup Yake too much umesahau mpaka mwezi mtukufu wakati wewe ndo hajjrat wa kutoa wasia kila Ijumaa. Na huyo Iron Lady pleaseeee mavazi hayaendani kabisa na umbile lake. Miss Tanga na Jackie ndo wameshemera
Beautiful wedding...nawatakia kila la kheri Anitha na Frank. Anitha I am soo happy for you mamii, umepata hard working guy, jembe haswa! maana akina kaka wengi hapa Htown na akina Marioo wapenda dezo!
iron lady mbona nguo imemkaa vizuri tena sana tu. wewe unayesema vazi lake haliendani na umbile lake utakuwa na chuki zako binafsi. and everybody looks good so yall stop hating
arusi ilikuwa nzuri na watu walipendeza...kwa mtazamo wangu. mie nashangaa watu wanaokandia arusi za wenzao. arusi is a personal event so mtu anafanya kile anachopenda, atataka ipambwe vile anapenda. everything in a wedding is a personal touch, sasa mnataka kila arusi iwe na mashada! wabongo bwana! anywho, kuna siku nilimsikia dada fulani anasagia arusi ya mwenzie, wakati yeye sura yake kama kiatu hata makeup inadunda. sasa would you rather have a beautiful wedding or a beautiful face!
Wewe Anony wa kwanza nani kakuambia basi kwa kuwa ni mwezi mtukufu basi usipake make up really? Kwani hiyo ni dhambi? Kwani Mungu anaangalia kilichoko moyoni au sura yako? Phew!Ebu tuondolee upuuzi wako!
17 comments:
Arusi Nzuri lakini mavazi hovyoooooo aliependeza ni bibi harusi tu na wavulana kuna miss mmoja makeup Yake too much umesahau mpaka mwezi mtukufu wakati wewe ndo hajjrat wa kutoa wasia kila Ijumaa. Na huyo Iron Lady pleaseeee mavazi hayaendani kabisa na umbile lake. Miss Tanga na Jackie ndo wameshemera
Hii ndio mlisema royal wedding?
where is the royal colors. real real!!!!
woooooow!! Miss Tanga Amependeza mnoooooo.
Acheni wivu Amisa na Iron lady mnapendeza.
washkaji acheni hizo. Royal wedding ni jina tu. hata wewe unaweza ukawa na toyota tarcel yako ukaamua kuiita Range Rover Vogue, poa tu.
Acheni ujinga..mwezi mtukufu ni kwako wewe..kila mwezi nimtukufu..Kikw
etu KANZU ni vazi analopewa mwanaume
anapopewa MKE nakuachana na utoto...si
vazi la msikitini au kanisani. Hivyo FRANK
kawa kidume..hongera Frank.
kanisani. Huyu kaitwa mume.
Hongera maharusi, bibi harusi shape nzuri lakini gauni hapo kifuani sijalisoma kabisa na nywele zimeficha uso
Beautiful wedding...nawatakia kila la kheri Anitha na Frank. Anitha I am soo happy for you mamii, umepata hard working guy, jembe haswa! maana akina kaka wengi hapa Htown na akina Marioo wapenda dezo!
iron lady mbona nguo imemkaa vizuri tena sana tu. wewe unayesema vazi lake haliendani na umbile lake utakuwa na chuki zako binafsi. and everybody looks good so yall stop hating
arusi ilikuwa nzuri na watu walipendeza...kwa mtazamo wangu. mie nashangaa watu wanaokandia arusi za wenzao. arusi is a personal event so mtu anafanya kile anachopenda, atataka ipambwe vile anapenda. everything in a wedding is a personal touch, sasa mnataka kila arusi iwe na mashada! wabongo bwana!
anywho, kuna siku nilimsikia dada fulani anasagia arusi ya mwenzie, wakati yeye sura yake kama kiatu hata makeup inadunda. sasa would you rather have a beautiful wedding or a beautiful face!
Wewe Anony wa kwanza nani kakuambia basi kwa kuwa ni mwezi mtukufu basi usipake make up really? Kwani hiyo ni dhambi? Kwani Mungu anaangalia kilichoko moyoni au sura yako? Phew!Ebu tuondolee upuuzi wako!
anony wa July 7, 2014 at 12:34 AM...hahahahahah
kwa hiyo my 1992 Ford naweza kuiita ferrari siyo!...
Harusi nzuri kamera kimeo.
Harusi imependeza sana jamani, bi harusi kapendeza sana, loveness nguo yako nzuri sana my dear
harusi ilipendeza sana sana.
Uwe na toyota ukaite range rover sasa si ugonjwa wa akili huo,range itakuwa range toyota Toyota,can not be the same.
Post a Comment