ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 15, 2014

FAMILY DAY COOKOUT YA KANISA LA KISWAHILI LA KATOLIKI ILIYOFANYIKA WHEATON YAFANA


Watanzania wakianza kuingia kwenye park ya Whheaton, Maryland siku ya Jumamosi July 12, 2014 kulikofanyika Family Day Cookout iliyoandaliwa na waumini wa kanisa la kiswahili la Katoliki linaloendesha shughuli zao Baltimore chini ya padri Evod Shao

 Baraka Daudi (kushoto) akionja mfugo kujaribu kuangalia kama upo tayari kwa kulia anayemuangalia ni Aloyce Mbullu siku ya Jumamosi July 12, 2014 siku kulikofanyika Family Day Cookout iliyoandaliwa na waumini wa kanisa la kiswahili la Katoliki linaloendesha shughuli zao Baltimore 
Watoto wetu wakifurahia kuwa nje hasa kwa kipindi hiki cha joto nao wakipata vinywaji laini huku wakisubili mfugo uive waweze kupata chochote kabla hawajarejea nyumbani.

Wanafamilia wa Maryland wakiwa kwenye Family Day Cookout iliyofanyika Wheaton, Maryland siku ya Jumamosi July 12, 2014 na kukutanisha Watanzania mbalimbali waishio DMV na marafiki zao.

Colonel Mutta (watatu kushoto) mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani akibadilishana mawili matatu na mfanyakazi wa Ubalozi Aunty Mercy Dachi (kulia) wakiwemo pamoja na  mwamdishi wa kitabu cha Obama Mzee Safari Ohumay (wapili kushoto) siku walipokutana kwenye Family Day Cookout iliyoandaliwa na Waumini wa kanisa la Kiswalihi la Katoliki linaloendesha shughuli zao Baltimore, Maryland, aliyesimama jina halikupatikana.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi






No comments: