Advertisements

Thursday, July 17, 2014

HAKUNA MTU MWEMBAMBA HAPA DUNIANI KWELI NIMEAMINI PITIA HIZI PICHA NA UTAKUBARI

 Katika pitia pitia ya picha za marafiki zangu nikaona hii nilicheka na kufurahi kwa kurudisha kumbukumbu zangu kule niliko toka, rafiki yangu wa upande wa kushoto enzi hizo mwaka 1999  alionekana hivi. Ukishuka chini ndiyo huyo sasa nimekubari kuwa hakuna mtu mwembamba hapa duniani. Je wewe unayo picha ya ujana wako ukiwa shule ya msingi na sasa umemaliza vyuo na unafamilia?. Turushie na tuta share kwa kucheka na kuongeza umri wa kuishi bandugu, lakini kwa wanaume somo lina weza kuwa rahisi, kwa wa dada inaweza kuleta mtafaruku kwani kutoka na mambo ya rangi mbili mhh! kwaheri.

No comments: