Advertisements

Thursday, July 17, 2014

KUACHANA SIYO UGOMVI

Hapa Pamela Anderson akipokea busu kutoka kwa mtaraka wake Rick Salomon ni masaa machache baada ya kufile divorce. Je mwenzangu mimi utanunaje utatokea mlango mwingine na kuingilia mlango mwingine huku mdomo umeuvuta kama mjomba mchumali.
Ukiachana kwa kiroho safi vitu kama hivi ni kawaida tu..mpe huge mwenzio na kumnyunyizia busu jepesi kama hivi walivyo fanya Pam na Rick.

2 comments:

Anonymous said...

mwanamme ineonyesha bado ana mpenda mkewe ila hana budi tu kuacha naye labda mama mapenzi yamemuisha kwake so kuacha namna hivi ndo utaona matokea yake haya lakin uachane kiroho mbaya mwanamme kakutenda au mwanamke kakutande subutuuu hakuna cha hug wale nini unaona bora yamaliziki haraka kila mtu na ustaarabu wake.
wazungu ndo miachano yao hii na si wote tusidanganyanee, akiwa bado anakupenda aatakufatilia hata kukutoa roho yako si tunaonaga kwenye matv.

roho ya mtu msitu na ukiwa na roho nzuri ndo utachana kwa hug other wise no way out.

Anonymous said...

Wanaume wengine ndo wanaongoza kwa kununa!