Kweli mfadhili mbuzi binaadam atakuudhi wewe Ommy D leo ndo wa kumsupport Dully na kumuacha Alikiba aliyekutoa na Nai Nai??Ulipokuwa unataka utoke vipi ulitafuta mtu wa kukutoa na ukajua ni Ally Kiba sasa hivi unamuona mavii khaaa binaadam hapana hata kama ume base upande mmoja but usische mbachao kwa msala upitao ndo maana watu wengine maendeleo cyenu yanaishia chalinze kwa roho mbaya...
Aliyesema hapo juu huyo team sijui nini ni ukweli mtupu
dunia tunajifunza kutokana nacexperience saidia ndugu zako bora Ally K ulijionea ukamtoa mdogo wako maana wengine shukran kushnehi my momma told me they will be things like this... [Ushauri wa bure! Saidia ndugu zako kuliko marafiki wa siku hizi waliojaa unafiki...
Credit:thechoice




No comments:
Post a Comment