ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 3, 2014

JANUARY MAKAMBO ATIRIRIKA NA KUSEMA 90% YEYE KUINGIA KINYANG'ANYIRO CHA URAIS

Mazungumzo ya Salim Kikeke na January Makamba kuhusiana na katiba mypa na rais atakayechukua 'mikoba' ya Jakaya Kikwete.

8 comments:

Anonymous said...

too over ambitious...

Anonymous said...

Kabla ya kuwaza uraisi tuambie umefanya nini pale wizara ya sayansi na technology ili hata ukiondoka tukukumbuke?
Uraisi si wakukimbilia tu kwa kutafuta sifa. Watu wengine bwana kadhia tupu!

Anonymous said...

I agree. Actually, he's ridiculously self-esteemed. Is TZ "kichwa cha mwendawazimu"?

Anonymous said...

Why not? He is a step ahead for not fearing to dream.

Anonymous said...

January ni Mbunge wa Bumbuli ..kama unataka kufahamu alichokifanya nenda katembelee Bumbuli..unaibu Waziri alionao hajatimiza hata mwaka:( inasikitisha kuona watu wanauliza amefanya nini? Tena unauliza swali hilo ukiwa US:( Hebu jikumbushe Barack Obama aliulizwa amefanya nini ili spewed URAIS? Suala la Obama ilikuwa ni sawa na January. ..Uzoefu!! Ni kweli Obama hakuwa mzoefu kwenye uongozi wa juu na January pia hana uzoefu wa kutosha lakini je mbona mmesahau tulivyomsurpot Obama na kuwapinga waliosema hakuwa mzoefu? Binafsi siitakii mema CCM hata kidogo. .lakini kwa uhalisia ninakubali bado CCM itaendelea kutawala ..WaTanzania wanaamka lakini kwa mwendo wa Kobe:( Hivyo basi kwa uhalisia huo namuunga mkono January. .anaongea ukweli wazee wakae kando ..tujaribu vijana nchi inanuka rushwa na wizi na hii mizee imelewa madaraka.

Anonymous said...

Haya yanatokea Tanzania tu, watanzania wanatakiwa kufika mahali na kusema Hapana,hawa wanasiasa wa hivi wanatafuta umaharufu tu, Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi kubwa ni rushwa.Raisi ajaye anatakiwa kuwashitaki wale wote waliotumia madaraka vibaya na kufilisiwa,hiyo itakuwa changamoto kwa wale watakaoingia katika uongozi na kulitumikia taifa kwa kujenga nchi
Mdau
Australia

Anonymous said...

Mdau anonymous #5 hapo juu, ninashindwa kielewa hoja yk inalenga ktk kusupport nini.
je, ni Tanzania kupata Raisi kijana, au kutetea hoja ya January kutokuwa na uzoefu or, kupata mgombea atakae pambana na rushwa?
Kwa taarifa yk kati ya yote niliyoyaanisha hapo juu January anafit kwenye mmoja tu, ambalo ni kuwa Kijana.kuhusiana na kutokuwa na uzoefu hili liko wazi na comparison yk kati ya Obama na January is quite miss leading.Ni lazima ufahamu kuwa Marekani ni nchi inayoongozwa kwa kufuata sheria & nobody is above the law where's Tanzania huwezi kumgusa Raisi no matter anafanya madudu kiasi gani, tutaendelea kumpigia makofi mpaka amalize kipindi chake cha miaka 10.
Vilix2 fahamu kuwa January ni chimbuko la wanamtandao na walarushwa sijui utani convince vp kuwa baada ya kuchukua nchi atabadilika ghafla na kuwageuka wanamtandao.
In short kwa Tanzania kumweka mtu kuwa Raisi bila ya kumfahamu vyema ni sawa na kuweka nchi rehani.

Anonymous said...

This time he can't be Makamba...! may be after 10 years.

1. j.k NYERERE
2. A.H Mwinyi
3. B.M Mkapa
4. j.K Kikwete

Atakae fuata ni nani? baada ya KIkwete,ni upande mwingine wa wa-TANZANIA. mdau holland.