Jerry, well done!! you have very good ideas and good responses to questions but my suggestion is that, you need to be more creative instead of finding excuses find creative ways of dealing with the problem. Do not fall under the bureaucratic norm that is synonymous with Tanzania. Hizo barber ambazo hazijawa lami you need to find ways to raise finance. Halmashauri zote za nchi zilizoendelea zinaraise capital kwa capital projects kama barabara. They pay the debt over 10 or so years. Ukipata barabara nzuri then usafi utakuwa much easier to maintain. all in all, hongera sauna kwa kazi nzuri.
Jmani huyu dada is soooo unprofessional kha! unaenda onana ya mayor wa jiji unavaa kama umealikwa bar au disco nahivyo unavyoongea bibi jirekebishe bwana unaongea kama huyo Mh Jerry ni msanii au nani wakati ni Muheshimiwa huyo.
Nguo haina tatizo, huyo dada ni professional ila waswahili kila kitu wanaona siyo kizuri. Mnataka avae nguo gani?? Hijab? Dar es Salaam joto mnataka avae nguo gani?? Kuweni wastaarabu, mnasikiliza pointi na kinachotakiwa kufanywa kunyanyua maisha ya wananchi au mnaangalia fulani amevaaje? Come on guys! Tutafute solutions za matatizo siyo mambo madogo madogo ya mtu kuvaaje. Hapo wengi wetu wanasahau pointi muhimu ya jinsi ya kuondoa uchafu wanafikiria uvaaji wa nguo. Badilikeni.
5 comments:
Sporah hapo naona Jerry hakulijibu vizuri swali la usafi wakati wa ujio wa OBAMA ..??!!
Jerry, well done!! you have very good ideas and good responses to questions but my suggestion is that, you need to be more creative instead of finding excuses find creative ways of dealing with the problem. Do not fall under the bureaucratic norm that is synonymous with Tanzania. Hizo barber ambazo hazijawa lami you need to find ways to raise finance. Halmashauri zote za nchi zilizoendelea zinaraise capital kwa capital projects kama barabara. They pay the debt over 10 or so years. Ukipata barabara nzuri then usafi utakuwa much easier to maintain. all in all, hongera sauna kwa kazi nzuri.
Jmani huyu dada is soooo unprofessional kha! unaenda onana ya mayor wa jiji unavaa kama umealikwa bar au disco nahivyo unavyoongea bibi jirekebishe bwana unaongea kama huyo Mh Jerry ni msanii au nani wakati ni Muheshimiwa huyo.
MIKONO UNARUSHA MAKWAPA NJE AISEEE!!!KAZI KWELI KWELI
Nguo haina tatizo, huyo dada ni professional ila waswahili kila kitu wanaona siyo kizuri. Mnataka avae nguo gani?? Hijab? Dar es Salaam joto mnataka avae nguo gani??
Kuweni wastaarabu, mnasikiliza pointi na kinachotakiwa kufanywa kunyanyua maisha
ya wananchi au mnaangalia fulani amevaaje? Come on guys! Tutafute solutions za matatizo siyo mambo madogo madogo ya mtu kuvaaje. Hapo wengi wetu wanasahau pointi muhimu ya jinsi ya kuondoa uchafu wanafikiria uvaaji wa nguo. Badilikeni.
Post a Comment