Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (katikati), akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (wa kwanza kulia) katika moja ya sehemu za kuhifadhi kumbukumbu katika Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu, kushoto kabisa anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Msaidizi Utumishi Bw. Joseph Ndauka.
No comments:
Post a Comment