Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akikata utepe kuashiria uzinduzi rasimi wa uwanja uliopewa jina la Jenerali Davisi Mwamunyange ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga na kushoto ni Mkuu wa chuo cha JKT Mapinga Meja Aristides Rutta sherehe hizo ziliambatana na kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha JKT Mapinga kilichopo jijini Dar es salaam
Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi Mwamunyange akikagua gwaride lililoandaliwa wakati wa sherehe za kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa chuo cha jkt Mapinga kilichopo jijini Dar es salaam



No comments:
Post a Comment