Advertisements

Monday, July 28, 2014

KISOMO CHA KUWAOMBEA DUA WAZEE WETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI NA CHAI EID MUBARAK KILICHOFANYIKA HAPO NYARUGUSU HYATTSVILLE MD

Ustadh Ali Mussa na Ustadh Ibrahim wakiwa katika kisoma cha kuwaombea wazee wetu na ndugu zetu waliotangulia Mungu awerehemu huko waloko

 Ustadh Mohammed Mabezi akiwa katika hisia kali katika kisomo cha kuwaombea wazee wetu


Mwenyekiti mpya wa tamco Sheikh Ali Bin Mohammed, mmoja wa waliohudhuria kisoma hapo nyarugusu

 Dua zikiendelea Sheilkh Malik na Ibrahim kutoka Baltimore kwa makini wakionza dua

 Mama, dada, shangazi wa watu kama kawaida yake hakuwa nyuma kuhakikisha machopochopo yamekaa vizuri

 










1 comment:

Anonymous said...

Idd hii Vijimambo kumbe umerisishwa ndio maana Libe anakulaumu hutowi matangzo Yake au unrudi nakuyauta.
Kesho tunawajulisha wana DMV.

Kweli mungu baba!