Advertisements

Monday, July 28, 2014

MANCHESTER CITY WAIBANJUA AC MILAN 5-1

Stephan El Shaarawy #92 of AC Milan plays the ball in the first half against Manchester City during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Stephan El Shaarawy #92 wa AC Milan ajijaribu kuumiliki mpira wakati timu yake ilipocheza na  Manchester City kwenye mashindano ya International Champions Cup 2014 katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania.
Stevan JovetiÄ #35 of Manchester City celebrates his first half goal against AC Milan during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Stevan JovetiÄ #35 of Manchester City akishangilia goli lake la kwanza alilofunga wakati timu yake ilipokuwa inacheza na AC Milan kwenye mashindano ya  International Champions Cup 2014  katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania.
Matija NastasiÄ #33 of Manchester City heads a ball against Keisuke Honda #10 of AC Milan during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Matija NastasiÄ #33 wa Manchester City akipiga mpira kichwa huku akikabwa na Keisuke Honda #10 wa AC Milan  kwenye mashindano ya  International Champions Cup 2014  katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania.
Mario Balotelli #45 of AC Milan handles the ball against Jack Rodwell #17 of Manchester City during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Mario Balotelli #45 wa AC Milan akimiliki mpira mbele ya mchezaji  Jack Rodwell #17 wa Manchester City  kwenye mashindano ya  International Champions Cup 2014  katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania.
Alex Rodrigo Dias da Costa #33 of AC Milan heads a ball in the first half against Matija NastasiÄ #33 of Manchester City during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Alex Rodrigo Dias da Costa #33 wa AC Milan akipiga kichwa mbele ya mchezaji Matija NastasiÄ #33 wa Manchester City kwenye mashindano ya  International Champions Cup 2014  katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania.
Jess Navas #15 of Manchester City handles the ball around Bryan Cristante #24 of AC Milan in the second half during International Champions Cup 2014 at Heinz Field on July 27, 2014 in Pittsburgh, Pennsylvania.
Jess Navas #15 wa Manchester Cityakijaribu kumiliki mpira mbele ya mchezaji Bryan Cristante #24 wa AC Milankwenye kipindi cha pili cha mchezo kwenye mashindano ya  International Champions Cup 2014  katika uwanja wa  Heinz  siku ya Jumapili July 27, 2014 kwenye mji wa  Pittsburgh, Pennsylvania. 
Picha kwa hisani ya Zimbio.

No comments: