Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

MABALOZI WADOGO AKIWEMO MHE. OMAR MJENGA WATOA SALAMU ZA EID KWA MFALME WA DUBAI

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga 
akiungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
 Mabalozi Wadogo wanaoziwakilisha nchi zao Dubai wakiungana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
  Mabalozi Wadogo wanaoziwakilisha nchi zao Dubai wakiungana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
 Balozi mdogo wa Msumbiji Mhe.Mhe. Jose De Francio akiungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga akiungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid

Mhe. Omar Mjenga akiwa na Mhe. Jose De Francio Balozi Mdogo wa Msumbiji, Dubai

3 comments:

Anonymous said...

Nina swali kidogo, je nchi yetu ya Tanzania ina mkataba na nchi za kiarabu kupeleka mabalozi wa dini fulani tu? Ninauliza kwa nia njema kabisa wala si udini bali kuelimishana tu. Kwa kipindi kirefu tangu nikiwa mdogo sijawahi kuona balozi wetu hasa katika nchi za kiarabu kuwa nimuumini wa wa dini yoyote ile.
Asanteni na udumu umoja wa wa Tanzania.

Anonymous said...


Hebu angalia na Rome kisha rudi na analysis. Don't ask silly questions next time

Anonymous said...

je ulize pia je nchi yetu ina mkataba wa nchi za kizungu kupeleka mabalozi wa dinu fulani tu?kwa nini tunapeleka watu vatican wa dini fulani peke.jeulize na hili utapata jibu