Advertisements

Thursday, July 31, 2014

MAHABA NIUE YA ALICIA KEYS NA SWIZZ BEAT

Alicia Keys na Swizz Beat wategemea kupata mtoto wa pili kama unavyoona hapa bump to bump  kimahaba niue kiroho safi.

1 comment:

Anonymous said...

mahaba ya siku hizi kumuiba mume wa mtu na kumfanya wako anakuwa yeye,kashejifunza katika ndoa yake iliyopita na kishapata watoto ndo anakuja kukuchapukia wewe.Ndoa nyingi ziko hivi siku hizi chunguzeni mtajua.
by the way wishing them all the best kiroho safi na waislamu hawa wanaruhusiwa kuolewa wake zaidi ya wanne.kidume kassem dean,kafanya kweli. congratulation