Advertisements

Thursday, July 31, 2014

MAPOZI YA UPIGAJI PICHA YANAANZIA TOKA UTOTO JITIRIRISHE NA PICHA HIZI ZA COCO WA ICE T

Hapa ni Coco akiwa na umri chini ya mwaka mmoja katika pozi la picha unaweza kuaminia tabia ya mtu ujengeka toka utotoni. Jitiririshe na pozi za Coco katika upigaji picha na utakubariana na mimi kuwa pozi zake zimeanzia toka utotoni.
Na pozi hizo utokelezea akiwa amekanyakia na vikanyagio hivi vilivyo jaa kwenye kabati yake kama showroom ya duka la mtaa wa Congo. Siyo duka hili bali kabati la viatu la Coco wa Ice T.
Coco akiwa na Mr Ice T katika pozi ya ukodak.

1 comment:

Anonymous said...

bangi tu ndo zinazowasumbua hawana lolote watu wanataka watu waende shule siku hizi si story za vijiweni za hawa husslers