ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 9, 2014

MH. Mwigulu Nchemba (Mb.)Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi atembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mwigulu Nchemba alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC, nchini Marekani.

3 comments:

Anonymous said...

Mbona wauza sura siwaoni?

Anonymous said...

Mbona huyu nchemba anavaa skirf kila siku ya bendera ya chama inamaanisha nini please naomba nifahamishwe.

Anonymous said...

scarf sio ya chama ni rangi za bendera ya Tanzania.