ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 9, 2014

MEYA MSTAAFU WA NEW ORLEANS AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 10 JELA KWA KUFUJA FEDHA YA UMMA

Corrupt: Former New Orleans Mayor Ray Nagin is surrounded by the the media as he arrives for his sentencing hearing Wednesday, where he was later handed a 10 year prison term for money laundering, accepting bribes, and other corrupt misdeeds
Meya wa zamani wa jimbo la New Orleans Ray Nagin akiwa amezukwa na waandishi wa habari siku ya Jumatano alipofika mahahakami kusikiliza hukumu yake alipohukumia kwenda jela miaka 10 kwa ufujaji wa fedha za umma wakati wananchi wakiangaika na mafuriko ya Katrina.

No comments: