Advertisements

Thursday, July 31, 2014

MWALIKO WA KUHUDHURIA MKUTANO NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Wana DMV BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHI MAREKANI, MHE. LIBERATA MULAMULA, ANAWAALIKA WATANZANIA KUTOKA KWENYE MAENEO YA DMV PAMOJA NA MAJIMBO MENGINE HAPA MAREKANI, KUHUDHURIA MKUTANO MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DR. JAKAYA KIKWETE, UTAKAOFANYIKA TAREHE 2 AGOSTI, 2014 KATIKA HOTELI YA MARRIOT, 1221 22ND ST NW, WASHINGTON DC 20037, KUANZIA SAA 12.00 KAMILI JIONI.

KWA WANA DMV WATAKAOITIKIA MWALIKO HUU NA KUTAKA KUHUDHURI, WANAOMBWA NA KUHIMIZWA KUJIANDIKISHA MAJINA Kupitia.



Kama Kuna Maswali Tunaomba Uwasiliane na :


Iddi Sandaly - President 
isandaly@watanzaniadmv.org
301-613-5165

Raymond Abraham - Vice President
rabraham@watanzaniadmv.org
301-793-4467

Amos Peter Cherehani - Secretary 
acherehani@watanzaniadmv.org
240-645-2131


Genes Malasy - Teasury
gmalasy@watanzaniadmv.org
301-367-8151