Advertisements

Thursday, July 31, 2014

HAPPY BIRTHDAY

Jimmy King wa New York
Vijimambo timu inakutakia kheli yako ya kuzaliwa mwenyezi mungu akupe maisha marefu yenye afya njema.

1 comment:

Anonymous said...

jimmy king nakutakia kila la kheir na baraka tele za mungu zikushukiye katika siku yako hii adhimu ya kuzaliwa na always katika maisha yako.
happy birthday to you,how old are you?are you on?,two?,three.
enjoy you day; and you look great mpaka nimekusahau sijajua ndo wewe. ha ha ha.